Familia ya bawabu aliyeuawa wakati wa maandamano yataka fidia

  • | KBC Video
    97 views

    Kampuni moja ya kibinafsi ya utoaji huduma za usalama imeshtumiwa kwa madai ya kumpuuza mwajiri wake wa zamani marehemu Fred Wanjala, mlinzi aliyeuawa kwa kupigwa risasi tarehe 25 mwezi uliopita wakati wa maandamano yaliyoongozwa na Gen Z. wakati huo huo familia moja huko Meru inashinikiza haki kwa binti yao wa umri wa miaka 12 aliyepigwa risasi wakati wa maandamano ya hivi maajuzi ya Sabasaba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News