29 May 2026 7:34 pm | Citizen TV 330 views Familia ya Benard Omae, kijana aliyepatikana amefariki ndani ya kituo cha polisi cha Kibra jijini Nairobi sasa inataka wizara ya usalama wa ndani kutoa maelezo kamili kuhusu kifo cha mpendwa wao.