Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Christabel Atieno yasema mwana wao anateseka Saudia Arabia

  • | Citizen TV
    1,974 views
    Duration: 1:54
    Familia moja kutoka kijiji cha usonga mpakani mwa kaunti ya busia na siaya imesalia kwenye njia panda baada ya mawasiliano na mwana wao christabel atieno aliye nchini saudi arabia kukatika kwa muda wa miezi sita sasa.