Familia ya Elijah Masinde wa dini ya Musambwa inalilia fidia kutoka kwa Wakoloni

  • | West TV
    149 views
    Taifa la kenya likijiandaa kuadhimisha sherehe za 61 za siku kuu ya madaraka, kaunti ya buungoma ina kumbukumbu na ushuhuda tosha kudhihirisha kushiriki kwa wakazi wa eneo hilo kwenye vita vya kupigania uhuru. upinzani wa wapiganaji wa jamii ya bukusu na majeshi ya serikali ya mkoloni ya uingereza ulianza tu punde baada ya wapiganaji wa jamii hiyo walivyolemewa na majeshi ya serikali ya ukoloni miaka ya 1893/1894.