Familia Ya Fausia Nanjara Yaomba Usaidizi Kufuatia Kutoweka Kwa Mwanao

  • | TV 47
    32 views

    Familia Ya Fausia Nanjara Yaomba Usaidizi Kufuatia Kutoweka Kwa Mwanao

    Familia moja katika mtaa wa Lang’ata inaomba usaidizi kufuatia kutoweka kwa mwanao Fausia Nanjara mnamo tarehe kumi na nne disemba mwaka jana. Fausia alikuwa mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule Ya Upili Ya Olympic jijini Nairobi.

    #UpeoWaTV47 #UkumbiWaSiasa

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __