Familia ya John Kinyua Muriithi inaomboleza katika kijiji cha Kirimunge

  • | Citizen TV
    2,218 views

    Familia moja katika kijiji cha Kirimunge kaunti ya Kirinyaga vilevile inaomboleza kifo cha mpendwa wao aliyefariki kwenye ajali hiyo ya ndege. Familia ya Sajini Mkuu John Kinyua Muriithi imesema kuwa ilishtuka kufuatia habari za kifo chake.