Familia ya Julie Wangui yapinga matokeo ya uchunguzi wa mwili

  • | KBC Video
    35 views

    Ripoti ya uchunguzi wa mwili wa Julie Wangui iliyoonesha kuwa alifariki katika hali ya kimaumbile imekataliwa na familia yake. Wataalamu wa uchunguzi wa maiti waligundua mshipa wa damu uliopasuka, hali iliyowafanya kuafikia uamuzi kuwa chanzo cha kifo cha Wangui kilikuwa mpasuko wa mshipa wa nyuma wa ubongo. Hata hivyo familia imepinga uamuzi huo ikidai ipo njama ya kuficha ukweli

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive