Familia ya Kapteni Hillary Litali inaomboleza

  • | Citizen TV
    5,245 views

    Familia moja jijini Nakuru inaomboleza kifo cha Kapteni Hillary Litali,ambaye alikuwa miongoni mwa watu kumi waliofariki kufuatia ajali ya Ndege,eneo la Sindar kaunti ya Elgeyo Marakwet. Litali alikuwa miongoni mwa maafisa walioandamana alhamisi na mkuu wa majeshi Francis Ogolla. Hillary alikuwa amefanya kazi kama mwanajeshi tangu mwaka wa elfu mbili kumi na tatu.