Familia ya kijana aliyefariki akiipigania Urusi yazungumza

  • | BBC Swahili
    1,211 views
    "Nemes alikuwa hana makundi, alikuwa mtulivu sana"- Mama Mkubwa wa Mtanzania aliyefariki vitani Ukraine Taarifa za kifo cha Raia wa Tanzania, Nemes Tarimo, zilisambaa katika mitandao ya kijamii pamoja na video ikionesha akiwa anaagwa kwa heshima na vikosi vya jeshi nchini Urusi. 🎥 @eagansalla_gifted_sounds_ #bbcswahili #tanzania #ukraine Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw