Familia ya kijana aliyefariki nchini Qatar inataka usaidizi kupata mwili

  • | Citizen TV
    2,704 views

    Familia moja mjini Kitale inalilia haki baada ya mwili wa mwana wao aliyeaga dunia ghafla nchini Qatar kuzuiliwa nchini humo kwa miezi miwili sasa. Na Kama anavyoarifu Collins Shitiabayi, familia hiyo inasema kuwa licha ya kubisha ofisi husika za serikali, juhudi zao zimegonga mwamba.