Familia ya mchuuzi Boniface Kariuki yaandikisha taarifa

  • | Citizen TV
    3,385 views

    Muuzaji barakoa Boniface Mwangi kariuki aliyepigwa risasi wakati wa maandamano siku ya Jumanne anaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta