Familia ya mchuuzi Boniface Kariuki yalalamika imetelekezwa

  • | Citizen TV
    4,062 views

    Familia ya Boniface Mwangi Kariuki, muuzaji barakoa aliyepigwa risasi na polisi jijini Nairobi Jumanne, sasa inadai kutelekezwa na serikali licha ya afya ya mwana wao kudorora. Familia ya Kariuki inasema kufikia sasa hakuna idara ya serikali iliyoulizia hali yao wala kuandikisha taarifa ya matukio yaliyosababisha jamaa yao kupigwa risasi.