Familia ya mhudumu wa bodaboda aliyepigwa risasi hatimaye imekubali kumzika

  • | NTV Video
    524 views

    Familia ya David Nduati, mhudumu wa bodaboda mwenye umri wa miaka 26 aliyepigwa risasi, wakati wa makabiliano makali katika kijiji cha Kiganjo huko Thika, Kaunti ya Kiambu hatimaye imekubali kumzika kufuatia kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa mshukiwa mkuu, mbunge wa Gatundu Kusini Gabriel Kagombe.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya