Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Mohammed Abdi Noor Ismail yaitaka serikali kutoa majibu kuhusu madai ya kutekwa nyara

  • | Citizen TV
    899 views
    Duration: 1:24
    Familia ya mfanyabiashara Mohammed Abdi Noor Ismail inadai majibu kuhusu madai ya kutekwa nyara kwake usiku wa jumatano iliyopita katika eneo la Kariokor, Nairobi.