Familia ya Mutisya yaangazia mishumaa Emali, yataka haki kwa mauaji yake

  • | NTV Video
    107 views

    Familia ya Garson Mutisya wa umri wa miaka 33 ambaye ni miongoni mwa watu wawili waliopigwa risasi na maafisa wa polisi wakati wa maandamano ya genz Juni 25 mjini Emali kaunti ya Makueni. Ili kumkumbuka mishumaa imeashwa huku jamaa zake wakisema sharti haki itimizwe

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

    arson