Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Mwalimu Carlos yaomboleza kifo chake katika ajali ya ndege Nandi

  • | Citizen TV
    5,456 views
    Duration: 3:20
    Familia ya Mwalimu Robert Keter aliyefariki kwenye ajali ya ndege iliyotokea huko Nandi inamuomboleza jamaa yao kama kijana ambaye ndoto yake ya maisha ilikatizwa mapema. Mwalimu Carlos kama alivyofahamika na wengi alikuwa ameandamana na mbunge Johana Ng'eno kwenye ziara yake ya Nandi wakati wa ajali hiyo. Mamake marehemu akisema walikuwa na malengo makubwa na mwanawe aliyefariki akiwa na miaka 33.