Familia ya mwanafunzi wa gredi nane yapinga ripoti ya uchunguzi wa maiti

  • | Citizen TV
    3,860 views

    Familia ya mwanafunzi wa gredi ya nane, Wesly Njiru, aliyefariki katika njia ya kutatanisha shuleni eneo Umoja hapa jijini Nairobi imepinga ripoti ya upasuaji wa maiti. Familia hiyo inasema kuwa kuna njama ya kuficha ukweli baada ya ripoti hiyo iliyoandikwa na madaktari watatu kutolewa.