Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Nandi yataka uchunguzi wa haraka kuhusu kifo cha mzee wa miaka 71

  • | Citizen TV
    273 views
    Familia moja katika kijiji cha Tebeson, eneo la Mosoriot, kaunti ndogo ya Chesumei, kaunti ya Nandi, inaitaka serikali kuharakisha uchunguzi kuhusu kifo cha kutatanisha cha mzee wa miaka 71, baada ya ripoti ya uchunguzi wa mwili wake kuonyesha kuwa huenda alishambuliwa kabla ya kufariki.