Familia ya Ngarariga yafunguka baada ya vurugu, ikijitenga na wanasiasa waliohusika

  • | NTV Video
    4,012 views

    Baada ya vurugu kushuhudiwa katika ibada ya mazishi Ngarariga eneo bunge La Limuru kaunti ya kiambu, ambapo aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua alishambuliwa vikali pamoja na wanasiasa wengine waliokuwa wameandamaa naye, na kusababisha hasara kubwa, familia ilifiwa imezungumza.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya