Familia Ya Ngumbao Jola yatamautushwa na uamuzi wa mahakama kuwachilia washukiwa wa mauaji yake

  • | NTV Video
    201 views

    Familia ya marehemu Ngumbao Jola aliyeuawa wakati wa uchaguzi mdogo wa wadi ya Ganda huko Malindi kaunti ya Kilifi mwaka wa 2019, inatamaushwa na uamuzi wa mahakama, wa kuwaachilia huru washukiwa wakuu wa mauaji hayo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya