Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Oyoo yairai serikali ya Uganda kumwachilia

  • | Citizen TV
    1,998 views
    Duration: 2:50
    Familia ya Nicholas Oyoo, mkenya aliyetekwa nyara pamoja na mwenzake Bob Njagi, inaomba serikali ya Uganda kuwaachilia huru. Oyoo na Njagi walitoweka mnamo Oktoba mosi jijini Kampala, na hadi sasa hawajulikani waliko, hali ambayo imezua hofu na wasiwasi katika familia zao. Na kama anavyoarifu Ben Kirui sasa inaaminika kuwa wanazuiliwa katika kituo cha kijeshi cha Mbuya jijini Kampala.