Familia ya watu 72 wanaoishi nyumba moja

  • | BBC Swahili
    784 views
    Katika jimbo la India la Maharashtra, watu 72 wa familia moja ya Doijode wanaishi pamoja katika nyumba moja. Vizazi vinne vya familia hii huendesha biashara kadhaa katika jiji la Solapur. Hapa wanasimulia namna wanavyoishi, matumizi ya chakula na vile wanavyojisikia kuishi watu wengi ndani ya nyumba moja. Je mnaishi wangapi katika nyumba moja? #bbcswahili #india #familia