Skip to main content
Skip to main content

Familia yaangamizwa Nyamira

  • | Citizen TV
    14,490 views
    Duration: 2:23
    Maafisa wa polisi wanachunguza kisa ambapo watu wanne wa familia moja waliteketea hadi kufa baada ya nyumba yao kuchomwa wakiwa ndani huko Nyamira. Waliotekeleza unyama huo wanasemekana kuwafunga mikono na kuwanywesha mafuta ya petroli kabla ya kuwasha moto huo na kuwafungia ndani