Skip to main content
Skip to main content

Familia yafuatilia haki ya mwana wao Samburu aliyeuwawa mapema mwaka huu

  • | Citizen TV
    369 views
    Duration: 2:55
    Jamaa za familia moja inayolilia haki tangu kuuwawa Kwa mwana wao mapema mwaka huu katika kaunti ya Samburu, wanahofia usalama wao, wakidai kutishiwa maisha na watu wasiowafahamu kupitia njia ya simu. Familia hiyo imetoa wito Kwa idara ya upelelezi kuchunguza kisa hicho.