Familia yaghafulika Siaya binti wao akipata barua ya kujiunga na shule ya wavulana

  • | KBC Video
    83 views

    Familia moja katika kaunti ya Siaya iko kwenye njia panda baada ya binti yao wa umri wa miaka 14 kupokea barua ya kujiunga na shule ya Lenana, ambayo ni ya upili ya kitaifa ya wavulana. Gloria Adhiambo Owino na familia yake sasa wanaiomba serikali irekebishe haraka makosa hayo na kumuorodhesha katika shule ya kitaifa ambayo itahakikisha amefika shuleni wakati ufaao pamoja na wenzake wiki ijayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive