Familia yaitisha msaada wa shilingi milioni mbili kwa wahisani

  • | KBC Video
    49 views

    Jairus Juma amekuwa akiugua saratani ya koo tangu mwezi Desemba mwaka jana. Awali madaktari walikuwa wakitibu kile walichodhani ni kidond. Hatahivyo muda ulivyosonga ndivyo hali ya Jairu ilizidi kudorora, familia yake ikilazimika kumpeleka hospitali ya rufaa ya Kakamega, ambapo madaktari walibaini kuwa anaugua saratani ya koo .Mke wake Millicent Kesa, anasema kutokana na hali yake ilidhohofika hawezi anza matibu ya chemotherapy, ..Kutokana na gharama ya juu ya matibu yake, familia ililazimika kuuza kipandecha ardhi ili kugharamia matibu .Sasa familia hiyo inaomba msaada wa shilingi milioni mbili kwa wahisani. unaweza kutuma msaada wako kwa familia hii kupitia nambari ya Paybill : 8062447.Jina la akaunti JUMA JAIRUS ama kupitia nambari ya mpesa 0701337950 Millicent Kesa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive