Familia yakataa ripoti ya kifo cha Julia Wangui gerezani

  • | NTV Video
    144 views

    Familia ya Julia Wangui, mwanamke wa miaka 30 kutoka Nanyuki aliyefariki akiwa korokoroni imekataa ripoti ya uchunguzi wa maiti iliyosema alifariki kwa sababu za kawaida baada ya kupoteza fahamu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya