Skip to main content
Skip to main content

Familia yakosa kumzika mpendwa wao Matisi, kitale baada ya kushindwa kulipa deni la hospitali

  • | Citizen TV
    3,631 views
    Duration: 2:28
    Huku Waislamu kote duniani wakisherehekea sikukuu ya Eid ul-Fitr kwa furaha na bashasha, familia ya Ibrahim Kiprop katika mtaa wa Matisi, viungani mwa mji wa Kitale, imesalia katika huzuni nzito. Mmoja wao alifariki lakini hadi sasa hajazikwa, hali inayochangiwa na deni kubwa la matibabu katika hospitali moja jijini Eldoret.