Familia yalilia haki baada ya mtoto wao kufariki Kiambu

  • | Citizen TV
    809 views

    Familia moja kutoka kijiji cha Turiru kaunti ya Kiambu sasa inazitaka serikali za kaunti kuwajibika katika huduma za afya, baada ya mwana wao kuaga dunia Jumanne wiki hii. Mtoto huyo alifariki baada ya kukosa huduma katika hospitali ya Igegania kwa sababu ya mgomo wa madaktari.