Familia yalilia haki ya ndugu watatu wakimbizi walitoweka katika kambi ya Dadaab

  • | Citizen TV
    311 views

    Familia moja katika Kambi ya Wakimbizi ya Hagardera, eneo bunge la Dadaab kaunti ya Garissa, imegubikwa na huzuni tangu mwezi septemba mwaka uliopita, baada ya wana wao watatu kutoweka katika mazingira ya kutatanisha. Vijana hao wanadaiwa kutekwa nyara na watu wanaodaiwa kutoka kitengo cha usalama wasijulikane walikopelekwa . Feisal Abdirahman anatuarifu Zaidi.....