Familia Yamtaja Naibu IG Eliud Lagat Kama Mshukiwa wa Mauaji

  • | K24 Video
    3,790 views

    Familia ya Albert Ojwang’ inamtaka Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Eliud Lagat, akamatwe na afikishwe mahakamani wakimtaja kama mshukiwa mkuu wa mauaji ya mpendwa wao. Wanasema ingawa maafisa wa ngazi za chini wamekamatwa, aliyeamuru mauaji hayo lazima awajibishwe ili haki itendeke kikamilifu.