Familia yaomba msaada wa pesa baada ya mwanao kugunduliwa anaugua Saratani

  • | KBC Video
    124 views

    Familia moja katika kijiji Mugathika, wadi ya Rurii, eneo bunge la Olkalou, kaunti ya Nyandarua, inakumbana na changamoto za hisia na kifedha baada ya mwana wao mwenye umri wa miaka 17 kwa jina Gidraf Mugo Kamande, kugunduliwa kuwa anaugua saratani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive