Familia yaomba msaada wa serikali kuleta nyumbani mwili wa mpendwa wao aliyefariki Saudi Arabia

  • | KBC Video
    40 views

    Familia moja katika kaunti ya Kitui imetoa wito kwa serikali kuu na zile za kaunti kuisadia kuleta nyumbani mwili wa mpenda wao aliyefariki nchini Saudia Arabia kwa ajili ya mazishi. Marehemu Caroline Wambui alikuwa akifanya kazi jijini Riyadh, ambako alifariki baada ya kuugua. Watawala nchini Saudi Arabia wamedaiwa kuipatia familia hiyo muda wa majuma matatu kuuchukua mwili huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive