Familia yaomboleza kifo cha jamaa yao Baringo

  • | Citizen TV
    1,168 views

    Familia moja katika kijiji cha Kuikui huko Baringo Kaskazini kaunti ya Baringo inaomboleza kifo cha mpendwa wao John Kisoi afisa wa usalama aliyeuawa katika shambulio huko Turkana Mashariki.