Familia yaomboleza mwanafunzi Denis aliyeuawa kwenye maandamano

  • | NTV Video
    280 views

    Mwanafunzi wa kidato cha 4 Denis Njuguna aliyepigwa risasi kichwani na maafisa wa polisi kwenye maandamano amezikwa nyumbani kwao eneo la Turi Molo huku familia yake pamoja na marafiki wakimmiminia sifa zake nzuri pamoja na kutia bidii masomoni alipokuwa hai.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya