Familia yasema Brian Odhiambo alichukuliwa na walinzi wa mbuga ya Nakuru

  • | Citizen TV
    606 views

    Familia ya kijana Brian Odhiambo anayedaiwa kuchukuliwa na walinzi wa mbuga, inasema kuwa alikamatwa akienda kuvua samaki katika ziwa Nakuru siku ya Jumamosi. Familia hiyo inadai kuwa mwana wao alipigwa vibaya kabla ya kupelekwa kusikojulikana