7 Sep 2025 7:46 pm | Citizen TV 681 views Duration: 1:19 Familia moja katika eneo la Uthiru hapa jijini Nairobi inadai haki kufuatia kifo cha binti yao aliyeaga dunia alipokuwa akijifungua katika hospitali moja mtaani Kangemi.