Familia za waathiriwa wa maandamano kwenye njia panda

  • | Citizen TV
    2,183 views

    Msururu wa maandamano nchini umeacha majonzi makubwa, na kusababisha vifo vya Wakenya, wengi wao wakiwa wanatoka familia masikini. Kwa familia hizi zilizofiwa, uchungu wa kupoteza wapendwa wao umeongezewa mzigo mkubwa wa kifedha wa kuwazika.