Familia za waathiriwa wa Maandamano zadai haki

  • | Citizen TV
    805 views

    Familia waliopoteza wapendwa wao wakati wa maandamano ya Saba Saba bado wanazidi kudai haki, huku wakiilaumu serikali kwa utepetevu. Kwenye mazishi ya Jackline Nyawira aliyeuwawa kwa kupigwa risasi kaunti ya Nairobi, waombolezaji walimtaka Rais William Ruto kuhakikisha usalama kwa wakenya wote.