Skip to main content
Skip to main content

Familia za waathiriwa wa mafuriko zaomba msaada kuwatafuta wapendwa waliopotea

  • | Citizen TV
    1,120 views
    Duration: 3:24
    Na tukiangazia uchungu wa familia za wale ambao bado hawajapatikana kufuatia mafuriko yaliyoshuhudiwa katika sehemu mbalimbali nchini, Familia ya Beatrice Akinyi, mchuuzi wa kahawa katika eneo la Grogon jijini Nairobi, inaomba msaada wa dharura kumtafuta jamaa yao. Akinyi alionekana mara ya mwisho Ijumaa alipotoka nyumbani kuenda kutafuta riziki na hadi sasa mama huyo wa watoto watano hajulikani aliko. Mahangaiko sawia yanashuhudiwa na familia ya Mike Otieno ambaye anashukiwa kuzama katika Mto Ngong