Skip to main content
Skip to main content

Familia za waathiriwa wa mauaji wa Shakahola zinapokea miili ya jamaa zao

  • | Citizen TV
    1,037 views
    Duration: 2:46
    Familia za waathiriwa wa mauaji ya Shakahola zimeendelea kupokea miili ya wapendwa wao katika makafani ya malindi. Baada ya kusubiri kwa miaka miwili familia moja ilipokea miili minne . Hadi sasa, maiti 16 zimekabidhiwa familia ambazo sasa zinaendelea na maandalizi ya mazishi. Aidha mashirika ya kutetea haki za kibinadam yanasema kufikia sasa maiti 60 zimetambuliwa rasmi.