- 625 viewsDuration: 1:59Familia za waathiriwa wa mauwaji ya Shakahola zimeendelea kuchukua miili ya wapendwa wao katika makafani ya Malindi. Jumla ya miili 10 kati ya 34 tayari imekabidhiwa familia hata hivyo, jamaa za waathiriwa wamelalamikia serikali kuwaachia mzigo wa kugharamia mazishi.