Skip to main content
Skip to main content

Familia za waliosombwa na mafuriko zadai fidia

  • | Citizen TV
    708 views
    Duration: 2:54
    Baadhi ya familia za waathiriwa wa mafuriko sasa zinadai kulipwa fidia, zikitilia shaka ahadi ya serikali kugharamia mazishi ya jamaa zao. Familia hizi zilizofika katika hifadhi ya maiti ya City ambako uchunguzi wa maiti ulifanyika zikiilaumu serikali kwa kushindwa kulinda maisha ya jamaa zao.