Familia za waliotekwa nyara kusubiri majibu kwa siku saba zaidi

  • | NTV Video
    1,418 views

    Familia za Justus Mutumwa, Martin Mwau na Kalani Muema, wanaoripotiwa kutekwa nyara Disemba 16 mwaka jana, wanalazimika kusubiri angalau kwa siku saba zaidi kabla ya kupata majibu kuhusu waliko waopendwa wao.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya