Familia za wanafunzi 11 wa chuo cha KU zaomboleza

  • | Citizen TV
    2,632 views

    Familia za wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Kenyatta waliofariki katika ajali ya barabarani eneo la maungu, voi kaunti ya Taita Taveta wamewaomboleza wapendwa wao kama vijana waliokuwa na ndoto ya kubadilisha taifa. Familia hizo zilizokusanyika katika chuo kikuu cha Kenyatta kwa shughuli ya upasuaji wa miili na mkutano na usimamizi wa chuo wametaka serikali kuwasaidia kugharamia mazishi ya wapendwa wao.