Skip to main content
Skip to main content

Familia za wanaodaiwa kutekwa nyara zaandamana Nairobi

  • | Citizen TV
    1,979 views
    Duration: 51s
    Familia za Macmilan Kiarie, Michael Oloo, Evans Otieno na Abdulaziz Ali wanaodaiwa kutekwa nyara na polisi wanaandamana katikati mwa jiji la Nairobi.