Familia za watu saba waliosombwa na mafuriko Gilgil wanaendelea kukadiria hasara.

  • | K24 Video
    74 views

    Familia za watu saba waliosombwa na mafuriko katika eneo la Oljorai Gilgil wanaendelea kukadiria hasara. Aidha wanasubiri serikali iwahamishe na kuwapatia makao mapya. Wakati huo huo wasiwasi umetanda katika eneo la chembe kibambache kufuatia mzee wa kijiji kuuawa kinyama kisa ni mzozo wa mashamba