Skip to main content
Skip to main content

Familia za watu wanane waliofariki kwa ajali zachukua miili hospitalini Narok

  • | Citizen TV
    375 views
    Duration: 1:58
    Huzuni ilitanda katika hospitali ya rufaa ya Narok wakati jamaa wa familia za watu wanane walioangamia kwenye ajali katika barabara ya Ntulele kuelekea narok walipokuwa wakichukua miili. Familia hizo zinasema baadhi ya watu waliofariki walitegemewa sana na familia zao kukithi mahitaji ya kila siku. sasa zinataka uchunguzi wa kina ufanywe kubaini kilichosababisha ajali hiyo.