Familia za watu wawili waliouawa na polisi Kibwezi zadai haki

  • | Citizen TV
    955 views

    Familia za watu wawili waliouawawa kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi mjini Kibwezi kaunti ya Makueni wakati wa maandamano ya jumanne wanadai haki kwa wanao huku wakiitaka serikali kuhakikisha kuwa polisi anayedaiwa kuwapiga risasi watu hao amekamatw ana kushtakiwa.