Familia zaanza kuweka mipango ya mazishi

  • | Citizen TV
    1,633 views

    Idadi ya watu waliofariki kutokana na mkasa wa mlipuko wa gesi eneo la mradi, Embakasi, sasa imefikia watu saba baada ya mtu mmoja kufariki akipokea matibabu hospitalini. Haya yanajiri huku familia zilizowapoteza wapendwa wao zikiendelea na mipango ya mazishi